WATAALAMU NI DAWA YA KUKUZA MITI WILAYANI SENGEREMA

Wananchi   wanaofanya   shughuli  za  upandaji  miti   Wilayani Sengerema  Mkoani  Mwanza  wametakiwa  kuwaona wataalamu wa misitu  ili kuongeza ubora katika zao   hilo.


Related image

Akiongea na Radio Sengerema ofisini kwake Meneja Wakala misitu Wilayani  Sengerema Bwn, Urio Jeremia amesema, kwa takwimu    zilizopo wilaya ya  Sengerema  imekuwa na kasi kubwa ya upandaji miti,na hivyo  wanapaswa  kufika katika Ofisi za wataalam kwa ushauri  zaidi.

Aidha Bwn Urio amebainisha miti inapaswa kupunguziwa matawi ili kuipa nafasi ya kunenepa kwa lengo la kupata mazao ya miti yenye ubora.

 Na,Michael Mgozi  

Comments

Popular posts from this blog

KISIWA CHA ZILAGULA KIPO HATARINI KUKUMBWA NA KIPINDUPINDU WILAYANI SENGEREMA

WAJAWAZITO WAPEWA MWAROBAINI WA KUMUOKOA MTOTO ALIEKO TUMBONI DHIDI YA UGONJWA WA PEPOPUNDA