JAMII YA MAZAO
|
JINA LA ZAO
|
KIPIMO
|
BEI
|
NAFAKA
|
Mahindi
|
Debe
|
11,000 -12,000
|
Mchele
|
Kilo
|
2,000
|
|
Mtama
|
Debe
|
12,000
|
|
Mawele
|
Debe
|
13,000
|
|
Ulezi
|
Kilo
|
2,000
|
|
JAMII YA KUNDE
|
Maharage
|
Kilo
|
2,000
|
Kunde
|
Kilo
|
2,000
|
|
Njugumawe
|
Kilo
|
3,000
|
|
Choroko
|
Kilo
|
2,000
|
|
Njegere
|
Kilo
|
3,000
|
|
Dengu
|
Kilo
|
3,000
|
|
MAZAO YA MIZIZI
|
Viazi mviringo
|
Kilo
|
1,000
|
Mihogo mibichi
|
Fungu
|
1,000-2,000
|
|
Viazi vitamu
|
Fungu
|
1,000-2,000
|
|
Mihogo mikavu (Makopa/Udaga)
|
Debe
|
10,000-11,000
|
|
MBEGU ZA MAFUTA
|
Ufuta
|
Kilo
|
4,000
|
Soya(Soya beans
|
Kilo
|
2,000
|
|
Karanga
|
Kilo
|
2,700
|
|
MBOGAMBOGA
|
Matango
|
Moja
|
200-400
|
Kabichi
|
Moja
|
500-700
|
|
Mchicha
|
Fungu
|
100-200
|
|
Bilinganya
|
Moja
|
200-300
|
|
Nyanya
|
Fungu
|
200-300
|
|
Vitunguu
|
Kilo
|
2,000
|
|
Nyanya chungu
|
Fungu
|
100-200
|
|
Bamia
|
Fungu
|
100-200
|
|
Pilipili Hoho
|
Moja
|
200-300
|
|
VIUNGO
|
Tangawizi
|
Kilo
|
2,000
|
Vitunguu Swaumu
|
Kilo
|
5,000
|
|
Pilipili kali
|
Fungu
|
500
|
|
Na, Winfridah.
|
|||
KISIWA CHA ZILAGULA KIPO HATARINI KUKUMBWA NA KIPINDUPINDU WILAYANI SENGEREMA
Wakazi wa kisiwa cha Zilagula kilichopo katika kata ya Bulyaheke halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema wako hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu hususani katika msimu huu wa mvua zinazo endelea kunyesha. Wakizungumza na Radio Sengerema katika kisiwa hicho wamesema mazingira wanayoishi siyo salama kwa afya zao kutokana baadhi ya wakazi wa eneo hilo kutokuwa na vyoo pamoja Nguruwe kuishi pembezoni mwa ziwa hali ambayo mvua zikinyesha uchafu wote hutiririshwa ziwani. Kwa upande wake mwenyekiti wa kitongoji katika kisiwa hicho Abushilu Yasini amesema hali ya mazingira ni mbaya hivyo serikali ione umhimu wa kukabiliana na tatizo hilo. Hata hivyo baada ya jitihada za kuzungumza na Bwana Afya huyo kuwa za kukatisha tamaa, Radio Sengerema ikalazimika kumtafuta mkurugenzi wa halimashauri ya Buchosa Bwn, Crispin Luanda kwa njia ya simu na simu iliita bila mafanikio n
Comments
Post a Comment