WAFANYABIASHARA WACHARUKA MBELE YA MBUNGE WAO WA JIMBO LA SENGEREMA


Wafanyabiashara  wa  soko kuu mjini Sengerema mkoani Mwanza wamelalamikia  kubomolewa  vibanda vyao katika eneo la soko  hilo  wakitaka warudishiwe  gharama zao walizo lipia .


Image result for PICHA ZA WAFANYABIASHARA
 maisha ya wafanyabiashara baada ya kubomolewa vibanda vyao 

Malalamiko hayo yamekuja  kufuatia  siku chache baada  kubomolewa vibanda vyao, ambapo Bw,Paschal  Watosha  ni mmoja wa wafanyabiashara hao  amehoji kwa niaba ya wafanyabiashara    katika mkutano na mbunge wa jimbo la Sengerema Mh, William  Mganga Ngeleja uliofanyika katika mtaa wa Migombani  Je, halmashauri  itaawarudishia  pesa zao walizolipia  maeneo waliyokuwa wametengewa na halmashauri ?  


Akijibu  Malalamiko  hayo  makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya Sengerema bw, Sylivanus Bulapilo amesema kuwa  wanaanza kuchukua hatua za kisheria kwa watumishi wao waliowapotosha wanachi kujenga vibanda hivyo kisha kubomolewa .

Na,Amina  Hassan

Comments

Popular posts from this blog

KISIWA CHA ZILAGULA KIPO HATARINI KUKUMBWA NA KIPINDUPINDU WILAYANI SENGEREMA

WAJAWAZITO WAPEWA MWAROBAINI WA KUMUOKOA MTOTO ALIEKO TUMBONI DHIDI YA UGONJWA WA PEPOPUNDA