WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO AZINDUA MASHINE YA CT-SCAN BUGANDO MWANZA
Waziri wa afya Ummy Mwalimu ameahidi kuwaletea mashine ya uchunguzi
ya MRI katika hospitali ya rufaa ya
kanda ya ziwa Bugando mwaka huu.
Ameyasema hao Januari 26 wakati akifungua mashine ya
CT-scan ambayo itakua inapima magonjwa mbalimbali iliyogharimu shilingi
za kitanzania bilioni 1.6 ambazo zinetokana na vyanzo mbalimbali vya hospitali
hiyo
Aidha,Waziri Ummy
ameahidi ndani ya miaka mitatu kuanzisha taasisi ya moyo ili kuweza kupunguza
gharama kwa wananchi wa kanda ya ziwa na magharibi wanaopata matatizo ya moyo
kwenda kuoata vipimo na matibabu kwenye taasisi ya moyo ya JKCI ya jijini
Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment