WANANCHI WACHANGIA MAJI NA MIFUGO KUTOKANA NA UHABA WA MAJI KIJIJI CHA NYARUYEYE MKOANI GEITA
Wakazi takribani elfu sita mia tano (6500)
wa kijiji cha Nyaruyeye kata ya Nyaruyeye mkoani Geita wanakabiliwa na uhaba wa
maji hali ambayo imewalazimu kuchangia maji ya kwenye dimbwi na mifugo.
kijiji hicho kina jumla ya visima viwili hivyo wananchi hulazimika kuamka saa nane usiku kwa ajili ya kwenda kupanga foleni.
Wananchi wa Kijiji cha Nyaruyeye mkoani Geita wakiwa wanasubiri kuchota maji |
Comments
Post a Comment