WANANCHI MJINI SENGEREMA WAONDOKANA NA ADHA YA KUTAFUTA HUDUMA YA MAJI

Huduma  ya maji Wilayani Sengerema  Mkoani  Mwanza    imerejea     katika  hali yake  ya  kawaida  usiku wa leo  februari 09 na kumaliza usumbufu kwa  wananchi  wa  kusaka  maji umbali mrefu  na kutumia maji ya kwenye mifereji yasiyo safi  na  Salama. 
Image result for picha ya BOMBA LA MAJI

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi  Mtendaji wa Halamsahauri  ya  Wilaya ya Sengerema  Bwn, Magessa Mafuru Boniphace   ambapo   amewashukuru  wananchi kwa uvumilivu wao.



Aidha Bwn, Boniphace katika kutambua umuhimu wa wananchi wa halmashauri yake    ameendelea kuwasisitiza   wananchi kuendelea kulipa bili ya maji kuepusha  kujitokeza tena  katizo hilo la maji mara kwa mara .

Na Emmanuel Twimanye

Comments

Popular posts from this blog

KISIWA CHA ZILAGULA KIPO HATARINI KUKUMBWA NA KIPINDUPINDU WILAYANI SENGEREMA

WANAFUNZI WAONDOKANA NA ADHA YA KUTEMBEA UMBALI MREFU KUFUATA ELIMU KATIKA KIJIJI CHA ILEKANILO WILAYANI SENGEREMA.