WANAFUNZI 52 WILAYANI NYANG'HWALE MKOANI GEITA WAMEPATIWA UJAUZITO 2017

 Wanafunzi  52 wa shule za msingi na sekondari wilayani Nyang’hwale mkoani  Geita  wamepoteza ndoto za masomo kwa mwaka 2017 kutokana na kupata ujauzito.
Image result for picha ya mama mjamzito
Akiongea mbele ya kikao cha madiwani mkuu wa wilaya ya nyang’hwale Bw,Hamim Gwiyama amesema  jumla ya kesi 45 zimiripotiwa polis, kesi 7 zimefikishwa mahakamani na watuhumiwa 2 wameachiwa huru kutokana na kukosa ushahidi.

 Image result for picha ya mama mjamzito
Amesema licha ya changamoto zinazowakabili watoto hasa wa kike wilaya ya nyang’hwale imekuwa ya nane kati ya wilaya zote katika mtihani wa darasa la nne.


Hata hivyo mkuu wa wilaya amesikitishwa na kitendo baadhi ya wazazi wanaochukua  mahali baada ya motto baada kupatiwa ujauzito badala ya kwenda polisi na kutafuta haki ya mtoto.
Na Anna Elias.


Comments

Popular posts from this blog

KISIWA CHA ZILAGULA KIPO HATARINI KUKUMBWA NA KIPINDUPINDU WILAYANI SENGEREMA

WANAFUNZI WAONDOKANA NA ADHA YA KUTEMBEA UMBALI MREFU KUFUATA ELIMU KATIKA KIJIJI CHA ILEKANILO WILAYANI SENGEREMA.