WALEMAVU WATAKIWA KUJISHUGHULISHA KUACHA KUWA OMBAOMBA
Watu
wenye ulemavu wametakiwa kujikita katika shuguli mbalimbali
za kiuchumi na kuachana na dhana ya kuwa tegemezi katika
jamii.
![]() |
| Mtu Mwenye ulemavu wa Miguu |
Akizungumza na radio sengerema Mwenyekiti wa Shirikisho
la vyama vya walemavuTanzania (SHIVYAWATA) wilayani Sengerema Bwn ,CREMENT FRANCINS, amesema kuwa, walevu
wanao uwezo wa kufanya kazi na kuachana na dhana ya kukata tamaa.
Bwn FRANCINS amewataka watu
wenye kundi hilo wasikate tamaa huku
akiiomba jamii kuacha kutowajali watu
hao wanaoshi nao majumbani mwao kwani wamekuwa na mkakati wa kupita vijijini
kuangalia watoto wenye ulemavu ili wapelekwe shuleni.
Kwa upande wao walemavu wameiomba serikali kuendelea
kuwaangalia na kuwasaidia ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Insert………Mlemavu.
Hata hivyo walemavu wameiomba jamii kuwapa
ushilikiano katika shughuli mbalimbali wanazozifanya ili waweze kufikia malengo
yao.
Na Michael Mgozi

Comments
Post a Comment