#Habari_zilizotufikia_hivi_punde ANUSURIKA KIFO KWA AJALI YA PIKIPIKI.
 |
| hii ndiyo Pikipiki iliyosababisha ajali |
Mtu mmoja mwendesha pikipiki maarufu kama Boda boda ambaye
jina lake halijatambulika mara moja amenusurika kifo baada ya pikipiki yake
aina ya SANLG yenye namba za usajili MC 662 kugongana uso kwa uso na gari dogo
aina Noah yenye namba za usajili T 136 DHT mjini Sengerema katika
makutano ya barabara ziendazo Geita,Kamanga,na Busisi.
 |
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hii
Tutaendelea kukujuza kitakachoendelea endalea kusikiliza 98.9
Radio Sengerema fm
|
Comments
Post a Comment