ZAHANATI YAWAKA UMEME MASAA 24

Zahanati
ya kijiji cha Bukokwa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema imefanikiwa
kutatua changamoto ya ukosefu wa umeme pamoja na maji.
Mganga
mfawidhi wa zahanati hiyo Deric
Mashauri amesema hayo baada ya
kutembelewa na radio Sengerema kwa lengo
la kujionea namana zahanati hiyo inavyotoa huduma kwa wananchi.
Mashauri amesema kuwa
baada ya kutatuliwa kero hizo kwa
sasa wananchi wanafurahia huduma za matibabu huku
wakiishukuru serikali kwa kutatua
changamoto hizo.
Na Peter Marlesa
Comments
Post a Comment