MKUTANO WA BUNGE LEO WAANZA RASMI MJINI DODOMA

Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania leo limeanza rasmi mkutano
wake wa nane wa Bunge mjini Dodoma.
Bunge leo limewaapishwa wabunge saba wa Chama Cha Wananchi CUF ambao
wameteuliwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)
Mbali na kuapishwa kwa
wabunge hao saba ambao wapo upande wa Profesa Ibrahim Lipumba pia kutakuwa na miswaada mitatu ambayo inatarajiwa
kusomwa hii leo.
Comments
Post a Comment