HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE;BASI LA MSUKUMA LAANGUKA SENGEREMA
![]() |
| BASI LA KING MSUKUMA |
Basi la king msukuma
limepinduka katika kata ya Katunguru wilayani Sengerema wakati likikwepa bajaji
barabarani ndipo lilipoyumba na kupinduka na abiria idadi ambayo haijajulikana wamejeruhiwa
na tayari wamekimbizwa katika Hospitali teule ya wilaya ya Sengerema kwa
matibabu na hakuna aliyepoteza maisha.
Endelea kufuatilia
taarifa zetu za habari kutakujuza mengi zaidi

Comments
Post a Comment